Natafuta mke wa kula naye uzee

Natafuta mke wa kula naye uzee

wa umri huo wawe humu kweli..

Mkuu wapo busy ktk kilimo pia wengine wanashika senene nyakati za usiku maana msimu ndio huu, pia mchana huwa busy kuzizungusha kwa wahitaji, subiri kwanza kipindi hiki cha mpito kipite...ila nakuomba tu.
 
Kaka mkubwa hapo huna haja ya kutoa tangazo humu wewe tafuta gari kali pamba za kiutu uzima mjengo unaoeleweka mbona watakuja wao wenyewe hata below 30.
Below 30 halafu ukute breki P si utajuta mazee?
 
Astaghfulahhh.....
Kijana unaharibika kwa tamaa...[emoji44][emoji44]
Mbona kama siamini macho yangu kabisa...[emoji53][emoji53]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi:

  • Awe na umri miaka35-47,
  • Awe mkiristo,
  • Ambaye hazai
  • Awe tayari kunilea

Wasifu wangu:

  • Nina miaka 64
  • Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5
  • Mimi ni mgane,
  • Retired since 2020 January
  • Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na nguluwe

Niko tayari kukuhudumia na kukupenda kwa moyo. Karibu chaguo langu njoo inbox
Tulia ulee wajukuu usitake kuwasababishia wenzio kesi za mada bureee!
Yaani babu miaka hiyo tutawezanaaaa? Au ndio mwendo wa vumbi la kongo ukatufie vifuaniiii!
 
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi:

  • Awe na umri miaka35-47,
  • Awe mkiristo,
  • Ambaye hazai
  • Awe tayari kunilea

Wasifu wangu:

  • Nina miaka 64
  • Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5
  • Mimi ni mgane,
  • Retired since 2020 January
  • Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na nguluwe

Niko tayari kukuhudumia na kukupenda kwa moyo. Karibu chaguo langu njoo inbox
Mkuu unataka mke bado meno unayo?
Utatafuniwa bure kama meno huna.

Au umeshanunuwa majini unatafuta wa kumtupia?
 
Back
Top Bottom