Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
Mimi ni
>Nina miaka 27
>Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6)
>Elimu kidato cha sita
>Sina mtoto
>Ni fundi muashi/uwashi
>Mlongo wa kisiasa ni muafidhina
>Dini ni muislam
Mwaname ninaemuhitaji awe na vigezo vifuatavyo
>Awe ni muislam au mwenye nia ya kuwa muislam
>Umri ni miaka 20 hadi 27
>Awe bado hajazaa
>Ajue kusoma na kuandika na kuhesabu pia.
Ewe mwenyezimungu nijalie nipate mke mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana. NimerekebishaMkuu unatafuta mke kisha ukajichanganya kwenye post soma upya kisha rekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke. !!! UnamuaojeMimi ni
>Nina miaka 27
>Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6)
>Elimu kidato cha sita
>Sina mtoto
>Ni fundi muashi/uwashi
>Mlongo wa kisiasa ni muafidhina
>Dini ni muislam
Mwanamke ninaemuhitaji awe na vigezo vifuatavyo
>Awe ni muislam au mwenye nia ya kuwa muislam
>Umri ni miaka 20 hadi 27
>Awe bado hajazaa
>Ajue kusoma na kuandika na kuhesabu pia.
Ewe mwenyezimungu nijalie nipate mke mwema
Sent using Jamii Forums mobile app