Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
Mimi ni
>Nina miaka 27
>Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6)
>Elimu kidato cha sita
>Sina mtoto
>Ni fundi muashi/uwashi
>Mlongo wa kisiasa ni muafidhina
>Dini ni muislam
Mwanamke ninaemuhitaji awe na vigezo vifuatavyo
>Awe ni muislam au mwenye nia ya kuwa muislam
>Umri ni miaka 20 hadi 27
>Awe bado hajazaa
>Ajue kusoma na kuandika na kuhesabu pia.
Ewe mwenyezimungu nijalie nipate mke mwema
Sent using Jamii Forums mobile app