Softwares Genuine
Member
- Apr 12, 2025
- 99
- 80
Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
Nicheki pm
Nicheki pm
🤣🤣🤣Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
Umechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
😂😂😂😂Umechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?
Kwanini?Umechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?
bikra labda ya mkuki, ila uchira himo utafeli hawapoNatafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
Wewe ni mwanamke ?Swali, wewe ni bikra pia?
Kasema kuanzia 18-27 au Mimi ndo sijui kusoma?Mtu mwenye 27 awe bikra?
Ila inawezekana
Hapa naona ni rahisi kwenda mbinguni, kuliko hicho unachokitafutaNatafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.