Softwares Genuine
Member
- Apr 12, 2025
- 99
- 80
π€£π€£π€£Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
Umechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
ππππUmechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?
Kwanini?Umechanganyikiwa mkuu au mzima kabisa?
bikra labda ya mkuki, ila uchira himo utafeli hawapoNatafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.
Wewe ni mwanamke ?Swali, wewe ni bikra pia?
Kasema kuanzia 18-27 au Mimi ndo sijui kusoma?Mtu mwenye 27 awe bikra?
Ila inawezekana
Hapa naona ni rahisi kwenda mbinguni, kuliko hicho unachokitafutaNatafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni.