Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia 18 - 27 awe bikra

Hongera Kwa kutamba thamani ya mwanamke BIKRA!
Hizo kejeli zipuuzie maana wengi wao ni wale waliotolewa bikra na kukimbiwa,pia wengine ni wale walioooa wasiokua na bikra a.k.a mitumba
 
Uko dar unatafuta bikra??

Labda kina mama wa jf wakuhurumie wakupe binti zao.
 
Vitoto vinasumbua, chukua waliojichokea kuanzia miaka 40
 
Tena aseme bikra zote mbili,asije akakutana na mla kisamvu mbobevu asie toa kubwa anatoa ndogo tuu
 
Unataka bikira ya wapi mzee funguka 😎😎😎
 
Mloganzila wanachonga bikra siku hizi 🀣🀣🀣🀣
 
Kila la heri Mkuu

Ila nikujulishe zipo za kutengeneza Siku hizi, nakusihi uwe makini
 
Dahhh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bikra kama Bikra,imebuma tayari,Pemba wanatoa ndogo kubwa wanatunza kwa ajiri ya vibwengo kama huyu.
Bikra yenyewe yaweza toka kwa stress za vijana na mikopo umiza.
Ni Bora allien waje kwa speed we are screwed up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…