Natafuta mke wa kuoa mwaka huu

Natafuta mke wa kuoa mwaka huu

Hapatikani popote, kama anapatikana popote nenda kachukue Buguruni.

Kama uko serious kuoa huwezi kuoa ndani ya muda mrefu hivyo,kuoa unatakiwa kupanga lengo la muda na hakikisha unaanza hivi

1. Urafiki miezi sita kwenda juu(msiwe karibu sana)
2. Tangaza uchumba baada ya kuona urafiki umekua vizuri na mnaendana baadhi ya mambo(usiombe ngono)
3. Fuata vigezo vya uoaji na uoe utakuwa umeisha mwaka naaa...
4. Mkipeana ngono mjuae kuoana itakuwa ni maamuzi sio upendo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno! Kuna tofauti gani ukipata malaya wa Arusha na wewe unawakataa malaya wa Dar?

Humu utapata malaya ambao hata huko kwenu wapo!

Nategemea utakuja na nyuzi nyingi ukisha mpata mke humu,

Tutakushauri tena!

Naomba kuwasilisha mheshimiwa Mwenyekiti[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Malaya tena!
 
Kama wewe ni single lady na upo tayari kwa relation-ship, gonga like hapa nita ku pm my business card tuwasiliane😍😍❤
 
Kila la heri...Kuwa makini tuu maana kuna kina Juma Lokole nao watakufuata PM...!!
 
Wewe sio hearly kweli umekuja na New ID,

Yaani mgeni alafu unajua na PM

CC Zero IQ
Hahaa ..bangi Sana wewe ..hiyo id itakuwa ni yako ..yaani umetoa post na kuji jibu mwenyewe ..unajitkenya na kucheka mwenyewe ..

Mkuu mimi hata niwe na shida ya mke kiasi gani ..siwezi kuleta bandiko humu
 
Habari zenu wapendwa wa jf ,jina naitwa cirmick naishi morogoro, umri wangu ni miaka 30-40,elimu yangu ninashahada ya kwanza,dini mkristu,mzaliwa wa hapahapa Tanzania,kazi nimeajiriwa,
Mke nimtakaye
Awe na umri wa miaka 27-40,
Dini yeyote,kabila lolote,awe na elimu ya chuo kikuu,awe anapatika a mahali popote Tanzania .Awe anajituma nakutambua thamani ya ndoa,awe na hofu ya Mungu.
Kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0689425236 au ni pm asante.N:B kama upo serious nitafute kwani nipo serious kwa hilo.Asanteni sana.
Awe anajituma kitandani na ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf kuna vi underground vingi sana, huwa havi comment chochote, ila tangaza unatafuta mchumba hapo ndiyo utajua kuwa jf kuna member wengi sana na kale kamsemo kuwa women outnumber men.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom