Hapatikani popote, kama anapatikana popote nenda kachukue Buguruni.
Kama uko serious kuoa huwezi kuoa ndani ya muda mrefu hivyo,kuoa unatakiwa kupanga lengo la muda na hakikisha unaanza hivi
1. Urafiki miezi sita kwenda juu(msiwe karibu sana)
2. Tangaza uchumba baada ya kuona urafiki umekua vizuri na mnaendana baadhi ya mambo(usiombe ngono)
3. Fuata vigezo vya uoaji na uoe utakuwa umeisha mwaka naaa...
4. Mkipeana ngono mjuae kuoana itakuwa ni maamuzi sio upendo tena.
Sent using
Jamii Forums mobile app