Ndoa yenye upako
Member
- Apr 10, 2018
- 6
- 0
Wanakuja
Kwani huku kuna tofautigani na mtaani...[emoji53] [emoji53]kama huko mtaani kumekushinda kupata mke huku hakuna mkuu
utasumbuka
Dahhh.....Wanakuja
upo utofautKwani huku kuna tofautigani na mtaani...[emoji53] [emoji53]
Hivi mkuu, haujui kwamba hawa tulionao humu ndio haohao waliopo huku mitaani....[emoji45] [emoji45]
Acha kumkatisha tamaa, mbona mimi nilimpata mume huku JFkama huko mtaani kumekushinda kupata mke huku hakuna mkuu
utasumbuka
Dah....Chief.... Ukipata Wawili nirushie mmoja....Habari, natafuta mke wakuoa nitakaye ishi naye kwa furaha kwani ndiye atakua chaguo langu. Awe tayari kupima HIV, asiwe mlevi, mcha Mungu, awe na mapenzi ya dhati, asiwe na mtoto, umri 20-31.Karibu uni pm tuyajenge
laaaa!!!!! sawaAcha kumkatisha tamaa, mbona mimi nilimpata mume huku JF
Kwani hao wa humu wanaishi sayari ganikama huko mtaani kumekushinda kupata mke huku hakuna mkuu
utasumbuka
3Kwani hao wa humu wanaishi sayari gani
Utofauti ni upi mkuu?upo utofaut