Natafuta mke wa kuoa mwaminifu

Natafuta mke wa kuoa mwaminifu

Joined
Apr 10, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Habari, natafuta mke wakuoa nitakaye ishi naye kwa furaha kwani ndiye atakua chaguo langu. Awe tayari kupima HIV, asiwe mlevi, mcha Mungu, awe na mapenzi ya dhati, asiwe na mtoto, umri 20-31.Karibu uni pm tuyajenge
 
Kwani huku kuna tofautigani na mtaani...[emoji53] [emoji53]
Hivi mkuu, haujui kwamba hawa tulionao humu ndio haohao waliopo huku mitaani....[emoji45] [emoji45]
upo utofaut
 
Habari, natafuta mke wakuoa nitakaye ishi naye kwa furaha kwani ndiye atakua chaguo langu. Awe tayari kupima HIV, asiwe mlevi, mcha Mungu, awe na mapenzi ya dhati, asiwe na mtoto, umri 20-31.Karibu uni pm tuyajenge
Dah....Chief.... Ukipata Wawili nirushie mmoja....
 
We unataka JF tukusaidie vipi yaani? tuingie mitaani kukutafutia au unataka wa humu jf? hivi hata hapo unapokaa mtaani kwako hujaona mwanamke wa aina unayotaka?
 
Back
Top Bottom