Natafuta mke wa kuoa

mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta mke wa kuoa awe na miaka 22 -26 aliye tayari tuwasiliane pm
 
Mmh maskini kaumri kameenda basi tena nshakosa nafasi
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini natafuta msichana wa miaka 22 mpaka 26 awe mke wangu elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea,

Aliye tayari tuwasiliane pm please.
 
We Katto acha uongo, Sema unataka wa kupiga na kuchakaza siku mbili, tatu. Wasichana kibao mjini wanatafuta wanaume wa kuwaoa...!! Nenda Badoo huko wapo kibao
 
Huu uzi hautaguswa, wala hautafutwa.Ndo jf mpya inataka post za namna hii
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 30 natafuta mke wa kuoa awe na umri wa miaka 22 mpaka 26 awe amefika kidato cha nne kuendelea mm nimeajiriwa serikalini, aliye tayari tuwasiliane pm please.
 
husika na kichwa cha habari hapo Juu
mm ni mwanaume wa umri wa miaka 30 natafuta mke wa kuoa awe na umri wa miaka 22 mpaka 26 awe amefika kidato cha nne kuendelea awe mkristo mm nimeajiriwa serikalini aliye tayari tuwasiliane pm please
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30yrs, nimeajiriwa serikalini, natafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu awe na umri wa miaka 22 mpaka 26, dini mkristo awe na shughuli ya kufanya elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea.

Aliye interested tuwasiliane pm.
 
Aisee kato huko serikalini wapo wengi single ina maana hujawapenda au hawajatulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…