Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

mimi ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini natafuta mke wa kuoa awe na umri wa miaka 22 mpaka 26 elimu sekondari awe na shughuli ya kufanya aliye tayari tuwasiliane pm
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane pm plz
halafu huyu mimi nilimwambia aje inbox hakuja, sasa anataka mke wa aina gani? na unataka aliye sirious wakati wewe mwenyewe hauko sirious? ungekuwa sirious si ungekuja in box? ACHA KUJOKI WATU HAPA
 
Yeye kasema muwasiliane pm, ungemfuata tu mkuu.
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane pm plz
wew muongo wala hauna shida ya mke, bt wataka kufanya jokingi tu gapa, kwani kama ungekuwa na uhitaji wa mke hebu angali katika post zako, je! hakuna coment ambayo mimi nimekoment na kukuambia kuwa uje in box? je! ulikuja? au huyo mke unayemtaka wewe ni mke wa aina gani? JINI AU? ACHA KUZINGUA WATU
 
Si kila anaetaka mke au Mume a amaanisha

Wengine wapo Kwenye research zao
 
wew muongo wala hauna shida ya mke, bt wataka kufanya jokingi tu gapa, kwani kama ungekuwa na uhitaji wa mke hebu angali katika post zako, je! hakuna coment ambayo mimi nimekoment na kukuambia kuwa uje in box? je! ulikuja? au huyo mke unayemtaka wewe ni mke wa aina gani? JINI AU? ACHA KUZINGUA WATU
sasa si ungemfuata pm tu?, mbona amesema anaye taka amzukie!!
 
Back
Top Bottom