Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

mega5

Member
Joined
Mar 27, 2019
Posts
30
Reaction score
23
Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz kidogo
VINGINEVYO Mimi ni mpole na mkarimu

Natafuta aliyejiandaa kuolewa(MKE)
Aliyeelimika(hekima)
Mrefu,Umri 20 hadi 38
Asiwe au awe na mtoto
Asiwe au awe na kazi/biashara-ok.
Awe na kazi au kitu anachofanya kanisani
Asinifiche udhaifu wake
Awe Christian ,awe au asiwe na kabila
Tuwe serious tafadhali na sihitaji wa kuonja
Nathamini kila mdonyoo wa kidole chako
Asanteni,karibu ,tukutane pm .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umri wako huo sisi wengine watoto wako vidato sasa sijui ulichelewa wapi baharia wangu...naomba majibu tu
 
Hapo kwenye kazi au kitu anafanya kanisani ndipo unapotaka kujichanganya.
 
Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz kidogo
VINGINEVYO Mimi ni mpole na mkarimu

Natafuta aliyejiandaa kuolewa(MKE)
Aliyeelimika(hekima)
Mrefu,Umri 20 hadi 38
Asiwe au awe na mtoto
Asiwe au awe na kazi/biashara-ok.
Awe na kazi au kitu anachofanya kanisani
Asinifiche udhaifu wake
Awe Christian ,awe au asiwe na kabila
Tuwe serious tafadhali na sihitaji wa kuonja
Nathamini kila mdonyoo wa kidole chako
Asanteni,karibu ,tukutane pm .

Sent using Jamii Forums mobile app
ID mpya zinatafuta mume au mke kwa kasi sana why??
 
"Nilipanga kuoa nikiwa na 50 hats hivyo nimeona niwahi tu"

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁😁
1:42 yrs sio mbaya ila usiwe 42 hata nyumba hujajenga bado unapanga iyo taabu nyingine

42 yrs, usiwe bado una panda daladala, temeke , mawasiliano

3: 42 yrs use hata na uwezo wa kumtolea mahali Dada wa watu.

4: 42 yrs usiwe ni wale wanaume wavulana wanalia ovyo mitandaon, akitoa 10000 tu anaanzisha Uzi.

5: 42 yrs usiwe wale wanaume wa Jf watakao on a hii comment comment yangu wakaanza kuninanga kwa style hii sitaolewa.

6: 42 yrs at least unakuwa na vitu vyote vya msingi, sio Julia njaa ovyo.

7: 42 yrs hakuna cha kusema mnaenda kuanzia maisha, upya so mtafute from 0, kama nitafuta from 0 ungeoa ukiwa na 25.

8: huu ndio ukweli ingawa mnaukataa na matusi juu.

9: mm nikiolewa na 42 bas naenda kumwongezea miaka ya kuishi, kuhakikisha anakuwa kijana upya, sio kwenda kunilimisha Lisa ndoa.
 
Back
Top Bottom