Natafuta mke wa kuoa

Saiv utapoteza mda wako mwing kubebeleza we funguka toa kitita ubaili uache watakuja weng mpka utanza kuchagua
Mzee siko tayari kununua mwanamke then nikiwa sina kitu tuanze kusumbuana ndo mana nataka mwenye hizo sifa mzee najua atakua anajitambua tayari
 
Akitokea Maiko msisite kuniita 😂
Nipo hapa mama! Kwa jina naitwa Maiko Tyson Shekighenda. Ni mweupe kama theluji! Mrefu kama ngongoti! Mzee wa makamo! Mstaafu mwenye mafao yake!

Huku kijijini wamezoea fundi Maiko. Maana ninajishughulisha pia na ufundi wa kutengeneza majiko ya mkaa.
 
Swali istikhara Allah atakujaalia mke mwema
 
Kuna maisha baada ya ndoa kumlisha mtu hadi aje kukata roho ni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…