Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Haha..!
Usisahau pia tunataka tucheze 'amapiyano' kwenye shughuli yako..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha..!
Tulieni hapo hapo 🤣Haha..!
Usisahau pia tunataka tucheze 'amapiyano' kwenye shughuli yako..!!
Fundi ujenz😂😂😂Ni kweli bana mtu unakula kama fundi ujenziiiiiii
Naomba uoreweeeeee😒
Kilometre zinarudishwa nyuma shangazi, 😅😅 kinakuwa kitu kama newYaani humu lazima harusi yangu niwaalike 😂 mje mle mpunga
dear future husband sijamaliza juzuu alafu kilometa zimesoma kidogo 😂Lakin si ni Sunnah
😂😂Aunt Bado hajakua huyoKilometre zinarudishwa nyuma shangazi, 😅😅 kinakuwa kitu kama new
😅😅😅 Mchukue umtunze akulie kifuani pako😂😂Aunt Bado hajakua huyo
Mjomba angu nikupatie?Mume mwema bado hajatokeeeaa 🤣🤸
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki
Kuna maikoKuna nn?
Wa ndani ndani sitaki 😒Mjomba angu nikupatie?
Yuko kantalamba ndani ndani
Weka pichaKuna maiko
PMWeka picha
😆😆😆😆utatakaWa ndani ndani sitaki 😒