Natafuta mke wa kuoa

Edited una miaka 27
Original thread waliyokukwoti mwqnzo una 34
 
Single maza awe na watoto wangapi [emoji23]
 
Ni kweli angeacha tu Kuna tunaopenda waliotuzid sana umri😀
Sasa anadanganya nini? Haoni anaweka doa 🤣😂

Afu raha mpishane kiasi
Sa sijui kwanini hajajiamini
 
Sikutishi hila nakwambia ukweli kwa umri wako uhuu ujaona wanawake kote uko mpaka utafute uku ?

Jiamini bro kama unataka mke mzuri angalia campan yak na pia sehemu zako unazotembelea

Uku wengi id fake aya ukija muoa si maisha yatakuwa fake?
Usihukumu but Kuna ukweli .
Hata wangu sijampata humu nimempata else where
 
Wakuu bado sijampata mtu sahihi
Wacha humu Kwa wadada ni ngumu washapigwa matukio hadi wanaogopa Tena kujiachia huru wapo tele wapo single ila matukio Sasa waliopigwa majanga pole zako .


Ila Mungu yupo anaona ikifika wakati atakubariki na wakufanana naye .
 
Umri wa 22 ni ndoto kupata humu bado wanadanga , halafu serious humu ni 28-40 wanakazi zao vibiashara wengine ni singlemother wanajitahidi na hali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…