Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Hongera kipenz❤Mungu akijaalia mtakula ubwabwa,so unajua mambo haya shost...ukiwa na mpenz usijiwekee 100% kuwa atakuwa mume.Time will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kipenz❤Mungu akijaalia mtakula ubwabwa,so unajua mambo haya shost...ukiwa na mpenz usijiwekee 100% kuwa atakuwa mume.Time will tell
Edited una miaka 27Mimi ni mwanaume wa miaka 27, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi
Rangi- Maji ya kunde
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- Degree
Kazi- Mtumishi (Taasis Binafsi)
Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 22 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.
* Single parent ( single mother) namkubali pia
-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anapenda marafiki na ndugu zangu
Karibu sana.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Single maza awe na watoto wangapi [emoji23]Mimi ni mwanaume wa miaka 27, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi
Rangi- Maji ya kunde
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- Degree
Kazi- Mtumishi (Taasis Binafsi)
Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 22 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.
* Single parent ( single mother) namkubali pia
-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anapenda marafiki na ndugu zangu
Karibu sana.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Ni kweli angeacha tu Kuna tunaopenda waliotuzid sana umri😀Edited una miaka 27
Original thread waliyokukwoti mwqnzo una 34
Sasa anadanganya nini? Haoni anaweka doa 🤣😂Ni kweli angeacha tu Kuna tunaopenda waliotuzid sana umri😀
Kweli kabisaSasa anadanganya nini? Haoni anaweka doa 🤣😂
Afu raha mpishane kiasi
Sa sijui kwanini hajajiamini
Usihukumu but Kuna ukweli .Sikutishi hila nakwambia ukweli kwa umri wako uhuu ujaona wanawake kote uko mpaka utafute uku ?
Jiamini bro kama unataka mke mzuri angalia campan yak na pia sehemu zako unazotembelea
Uku wengi id fake aya ukija muoa si maisha yatakuwa fake?
Acha tuSasa anadanganya nini? Haoni anaweka doa 🤣😂
Afu raha mpishane kiasi
Sa sijui kwanini hajajiamini
Unaniamini mie😂🙆Hongera kipenz
😀😀Ulivoongea serious Sasa😂Unaniamini mie😂🙆
😂😂😂😂😘😀😀Ulivoongea serious Sasa😂
Wacha humu Kwa wadada ni ngumu washapigwa matukio hadi wanaogopa Tena kujiachia huru wapo tele wapo single ila matukio Sasa waliopigwa majanga pole zako .Wakuu bado sijampata mtu sahihi