Natafuta mke wa kuoa

Dah pole sana jamani. Maneno gani hayo ?
 
Hakuna bahati kwenye ndoa ukifanya mambo ambayo yatapelekea ndoa kuvunjika itavunjika kweli.

Kwahyo ndoa utengenezwa na wanandoa wenyewe
Ukibahatika WA kumpata WA kutengeneza nae,,,,,Kuna vichwa omba sana Mungu....SI umeiona video ya yule dj WA Kenya ana mrekod make wake akinywa sumu
 
Ukibahatika WA kumpata WA kutengeneza nae,,,,,Kuna vichwa omba sana Mungu....SI umeiona video ya yule dj WA Kenya ana mrekod make wake akinywa sumu
Ndio nimeiona lakin hakupaswa kufanya hivyo kila binadam ana mapungufu yke hivyo kueleweshana na kuvumiliana ni jambo jema katika ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…