Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Kuna maneno uliniambiaga niliyatafakari moezi.
Yaani kukaaa kufua boxer za mtu mpaka vidole vinuke gololi?
Imagine same dick forever?
Imagine kumfanyia mambo yoote mtu mzima mwenye meno 32 na Bado akupige,akucheat....
Ndoa ni upuuuuzi uliotikizwa sana...
Labda ukibahatika kupata bahati
Dah pole sana jamani. Maneno gani hayo ?
 
Hakuna bahati kwenye ndoa ukifanya mambo ambayo yatapelekea ndoa kuvunjika itavunjika kweli.

Kwahyo ndoa utengenezwa na wanandoa wenyewe
Ukibahatika WA kumpata WA kutengeneza nae,,,,,Kuna vichwa omba sana Mungu....SI umeiona video ya yule dj WA Kenya ana mrekod make wake akinywa sumu
 
Ukibahatika WA kumpata WA kutengeneza nae,,,,,Kuna vichwa omba sana Mungu....SI umeiona video ya yule dj WA Kenya ana mrekod make wake akinywa sumu
Ndio nimeiona lakin hakupaswa kufanya hivyo kila binadam ana mapungufu yke hivyo kueleweshana na kuvumiliana ni jambo jema katika ndoa
 
Back
Top Bottom