Sasa mbona sisi wa jf ndio wa mtaani!!kama Mimi mtaani ni waifuu matilio ila jf kichomi matilio.....Niamini mimi, Humu jamii forum utapata wanawake vichomi pasua kichwa na wadangaji, au usipate kabisa mdada Atakaekuja pm kwako, au atakaekujibu pm mkafikia muafaka mzuri, hakuna mwanamke atakaekuchukulia serious humu sebsdtian
Nanini??Mesikitishwa sana 😥
DAH! Mim ambae sina mtoto nishakosa teyar[emoji1][emoji2][emoji3][emoji3]Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo
Awe amezaa watoto wasiozidi 2.
Hizi Dp zenu jamani, mods wawe wanaangalia daahDAH! Mim ambae sina mtoto nishakosa teyar[emoji1][emoji2][emoji3][emoji3]