Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Niamini mimi, Humu jamii forum utapata wanawake vichomi pasua kichwa na wadangaji, au usipate kabisa mdada Atakaekuja pm kwako, au atakaekujibu pm mkafikia muafaka mzuri, hakuna mwanamke atakaekuchukulia serious humu sebsdtian
Sasa mbona sisi wa jf ndio wa mtaani!!kama Mimi mtaani ni waifuu matilio ila jf kichomi matilio.....
 
Mwanaume kutafuta mke kwenye mitandaoni are you serious au una kasoro gani.
 
Back
Top Bottom