Sasa mbona sisi wa jf ndio wa mtaani!!kama Mimi mtaani ni waifuu matilio ila jf kichomi matilio.....Niamini mimi, Humu jamii forum utapata wanawake vichomi pasua kichwa na wadangaji, au usipate kabisa mdada Atakaekuja pm kwako, au atakaekujibu pm mkafikia muafaka mzuri, hakuna mwanamke atakaekuchukulia serious humu sebsdtian