Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Nipo serious mkuu, mi nilikuzwa na baba wa kambo so ni zamu yngu kulipa fadhira kwa kumtendea mwingine yale mazur nilotendewa.
Kwa hiyo unafikiri wanawake wa siku watakuwa sawa na mamako? Waweza kuvaa uhusika wa huyo baba wa kambo? Mi nimeshindwa jamaa aliyemwoa mwanamke mwenye watoto wawili baada ya kufiwa na mke wake. Yule single baada ya kuolewa hakumzalia yule jamaa hata mtoto moja ila walibaki kulea wale watoto wake. Wale watoto baada ya kukua na kumaliza masomo waliajiriwa, wote wa kiume. Cha kwanza walichofanya ni kumtafuta baba yao mzazi na kumwacha yule baba wa kambo solemba. Walibadili na majina. Sikiliza ushauri unaopewa watu wana uzoefu. Shauri yako we shupaza shingo
 
Kwani wakuu kuoa mwanamke aliezaa kuna shida gan?

Mie binafsi mpaka sasa hivi sijaona kuwa kuna shida yoyote.

Kuhusu kugongewa hiyo ni tabia ya mtu binafsi.

Labda kidogo ungesema kuhusu kuhudumia mtoto asie wa kwako baadae aje kukusaidia uzeeni hili pia halina guarantee kuwa atakusaidia ama laa, anaweza akawa wa kwako na baadae hata asije kukusaidia.
 
Kwa hiyo unafikiri wanawake wa siku watakuwa sawa na mamako? Waweza kuvaa uhusika wa huyo baba wa kambo? Mi nimeshindwa jamaa aliyemwoa mwanamke mwenye watoto wawili baada ya kufiwa na mke wake. Yule single baada ya kuolewa hakumzalia yule jamaa hata mtoto moja ila walibaki kulea wale watoto wake. Wale watoto baada ya kukua na kumaliza masomo waliajiriwa, wote wa kiume. Cha kwanza walichofanya ni kumtafuta baba yao mzazi na kumwacha yule baba wa kambo solemba. Walibadili na majina. Sikiliza ushauri unaopewa watu wana uzoefu. Shauri yako we shupaza shingo
Hautendi wema Ili ulipwe huo si wema ila unafki..... mtoto wako wa kumzaa aweza kukugeuka pia mkuu....punguza ubinafsi.....duniani hatuishi daima.Rainisha moyo
 
To yeye usijesema huna bahati. mwamba huyo yupo ready kujitosa kwa single mother
Kuna maneno uliniambiaga niliyatafakari moezi.
Yaani kukaaa kufua boxer za mtu mpaka vidole vinuke gololi?
Imagine same dick forever?
Imagine kumfanyia mambo yoote mtu mzima mwenye meno 32 na Bado akupige,akucheat....
Ndoa ni upuuuuzi uliotikizwa sana...
Labda ukibahatika kupata bahati
 
Je, hutaki kwanza kuonyeshwa kwanza kaburi la baba mtoto?
 
Kwa hiyo unafikiri wanawake wa siku watakuwa sawa na mamako? Waweza kuvaa uhusika wa huyo baba wa kambo? Mi nimeshindwa jamaa aliyemwoa mwanamke mwenye watoto wawili baada ya kufiwa na mke wake. Yule single baada ya kuolewa hakumzalia yule jamaa hata mtoto moja ila walibaki kulea wale watoto wake. Wale watoto baada ya kukua na kumaliza masomo waliajiriwa, wote wa kiume. Cha kwanza walichofanya ni kumtafuta baba yao mzazi na kumwacha yule baba wa kambo solemba. Walibadili na majina. Sikiliza ushauri unaopewa watu wana uzoefu. Shauri yako we shupaza shingo
Kuna watu wengi sana wanatoa ushauri jinsi ya kupata pesa na kuwa matajiri na wana uzoefu lakin bado si wote wanaofata ushauri huo wanazipata hizo pesa na kuwa matajiri pia

Tambua: USHAURI NA UZOEFU SI MUNGU
 
Back
Top Bottom