Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Haya maandishi yanaoneesha jinsi gani ulivyopigwa matukio mpaka ukawa na stress, mtu wa kawaida hawezi andika hivi, hujui majukumu ya mwanamke?
Kuna maneno uliniambiaga niliyatafakari moezi.
Yaani kukaaa kufua boxer za mtu mpaka vidole vinuke gololi?
Imagine same dick forever?
Imagine kumfanyia mambo yoote mtu mzima mwenye meno 32 na Bado akupige,akucheat....
Ndoa ni upuuuuzi uliotikizwa sana...
Labda ukibahatika kupata bahati
 
Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo

Awe amezaa watoto wasiozidi 2.

Unataka kweli ndoa au kugandamizia?
Weka wazi mkuu majike kibao yapo hapa lkn huja fafanua
 
Niamini mimi, Humu jamii forum utapata wanawake vichomi pasua kichwa na wadangaji, au usipate kabisa mdada Atakaekuja pm kwako, au atakaekujibu pm mkafikia muafaka mzuri, hakuna mwanamke atakaekuchukulia serious humu sebsdtian
Ooh so sad, mkuu mbona wanakuja PM kibao na tunayajenga mwisho wa siku lazima nibaki na mmoja this is what i tell them and they understand,

Nahis waliokuja PM ndo wanajua how serious I am na sina haja ya kumchezea mtoto wa mtu.

Wala ngono si kipaumbele changu so we differ ulivyo ww si nilivyo mm.
 
Back
Top Bottom