Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Ofisa wa benki anashinda mtandaoni jf, kakosa mke hata kwenye wateja wakina mama wa kila aina wanao kuja kukopa benki......wewe sio bure utakua muongo au unamatatizo makubwa kuna kazi huwexi kukosa mke labda uwe muathirika wa HIV na workmate wote wamesha kujua.
Taratibu ndugu, kuwa uone mambo. Usikae tu na kuwatilia dhana watu.
 
Ofisa wa benki anashinda mtandaoni jf, kakosa mke hata kwenye wateja wakina mama wa kila aina wanao kuja kukopa benki......wewe sio bure utakua muongo au unamatatizo makubwa kuna kazi huwexi kukosa mke labda uwe muathirika wa HIV na workmate wote wamesha kujua.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkuu umenichekesha sana dah, yaani sana
Kweli ukiwa JF stress kwisha
 
Miaka yangu ni 37
Naishi mkoa wa Dar
Kazi yangu kwa sasa AFISA WA BANK ( jina kapuni

Miaka kuanzia 25 kuja juu chini ya 25 usije Dm
Awe na mtoto kama huna mtoto usije coz mimi nina watoto
Awe muwazi na mkweli
Mwenye kuheshimu kila mtu
Elimu yoyote
Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Dini yoyote ile kikubwa Awe na mapenz ya dhati kwa sababu nilishawahi kuumizwa na mapenz
Dah kuna bint namfahamu ana heshima,na upendo kwa watu pia ana busara zake tele tatizo habit umri yeye ana 22
 
Back
Top Bottom