jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kwahiyo hatafuti mke wa kuoa bali anatafuta wa kulea watoto?Kwa ajili ya malezi ya watoto
Kuna tofauti kati ya maid na mke.
Labda hukuelewa kwanini nilimuuliza hilo swali.
Akiwa mke, technically ina maanisha tayari ameolewa. Majukumu ya kuolewa ni pamoja na malezi ya watoto.
Huwezi kusema unatafuta mke wa kuoa. Sahihi ni kutafuta mke.
Au labda “mwanamke wa kuoa”, wa kuwa mke nk.