Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Miaka yangu ni 37
Naishi mkoa wa Dar
Kazi yangu kwa sasa AFISA WA BANK ( jina kapuni

Miaka kuanzia 25 kuja juu chini ya 25 usije Dm
Awe na mtoto kama huna mtoto usije coz mimi nina watoto
Awe muwazi na mkweli
Mwenye kuheshimu kila mtu
Elimu yoyote
Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Dini yoyote ile kikubwa Awe na mapenz ya dhati kwa sababu nilishawahi kuumizwa na mapenz
Mshikaji wangu tukiwa Bank moja Morogoro Branch baada ya kazi alikuwa anachukua zile mandates account open/ loan application form za wateja wa hiyo siku anakagua picha na kuchukua namba za simu.... though hiyo alipata mke mzuri wa chaguo lake.
Nikutakie kila la kheri kwenye hitaji la moyo wako!!
 
Mshikaji wangu tukiwa Bank moja Morogoro Branch baada ya kazi alikuwa anachukua zile mandates account open/ loan application form za wateja wa hiyo siku anakagua picha na kuchukua namba za simu.... though hiyo alipata mke mzuri awa chaguo lake.
Nikutakie kila la kheri kwenye hitaji la moyo wako!!
Hii nzur kk
 
Nimekosa mume dah!! Me sina mtoto!! Lakini si hata wewe na watoto wako, mtakua watoto wangu jamani?? Mbona una ubaguzi?? [emoji17][emoji17][emoji17]
Haya single mazaz fursa hiyo mkaongeze team [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama huna mtoto usije DM
 
Back
Top Bottom