Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

niko hapa nanunua jini kwa mganga lije ulioe tena nimeomba jini lenye miaka25, lile chuma ulete.
 
Wakuu kwema
Mimi ni kijana umri Wa miaka 31
Elimu: Bachelor degree ya Computer Science
Kazi: Software developer
Nimeajiriwa
Tayari Nina Mtoto Mmoja Wa kiume.
Rangi Mweusi
Urefu 5.9
Dini Mkristo

Sifa Mwanamke ninayemhitaji
Umri kuanzia 25-30
Awe na hofu ya Mungu
Sihitaji sifa nyingine zaidi

Ukiwa interested ni check Dm
Akiwa mwanaCCM imekaaje?Hata hivyo,Mola akuongoze upate hitaji la moyo wako.
 
Back
Top Bottom