Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

5.9 feet mzee wewe ni mrefu, yaani wewe ni mrefu sana mkuu. Sitaki hata kusimama na watu warefu.

Hiyo age gape iko poa sana, wasshaanza kuwa desperate ukigusa tu imo.
 
Software developer 🙄🙄🙄🙄
Usijenihack bure
 
Wakuu kwema
Mimi ni kijana umri Wa miaka 31
Elimu: Bachelor degree ya Computer Science
Kazi: Software developer
Nimeajiriwa
Tayari Nina Mtoto Mmoja Wa kiume.
Rangi Mweusi
Urefu 5.9
Dini Mkristo

Sifa Mwanamke ninayemhitaji
Umri kuanzia 25-30
Awe na hofu ya Mungu
Sihitaji sifa nyingine zaidi

Ukiwa interested ni check Dm
Hivi ni kweli mdau? Una matatizo gani kwani?

Najua Wanaume ni rahisi sana kupata watu wa kuwaoa.

Au mwenzetu kuna mapungufu unayaficha nyuma ya kibodi?
 
MChumba angu ataniua😎
Na atakukata masikio hayo. Siunamjua asivyopenda ujinga? 😅😅😅

Na naenda kumfikishia hizi taarifa kwamba unatafuta mume mtandaoni
 
Huwa sijui namna wanaijibu hii salamu, ila iwe kheri kwako pia Jo...

Kipunga tunakifinya chimbo gani leo?

Nafikiri hivyo ulivyojibu ni sawa pia

Nakusikiliza wewe tajeeer
 
Back
Top Bottom