Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Mdada above 25 akae mita 200 kama mlinda kura za upinzani
In term of marriage
 
Kuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka 😂😂😂
Eti jamaa alikuwa na id ya kike kuna mwamba akajitosa pm akamwambia amtumie pesa akamtumia elfu 70, alivyoomba waonane akamjibu ukome mie mwanaume mwenzio siku nyingine usirudie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Hii ID tunazointeract nazo Kila siku zina back up unakuta ana ID mbili au zaidi humo humo ana ya kike🤣anachat vzr kuliko tubinti twa humu
 
Mdada above 25 akae mita 200 kama mlinda kura za upinzani
In term of marriage
mnamkataa nini huyo kijana ni mdogo sana kiumri. Kuna midingi ina 50 na inaoa kibinti kina miaka 20 na maisha yanaenda fresh tu
 
Kuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka 😂😂😂
Eti jamaa alikuwa na id ya kike kuna mwamba akajitosa pm akamwambia amtumie pesa akamtumia elfu 70, alivyoomba waonane akamjibu ukome mie mwanaume mwenzio siku nyingine usirudie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Hivi mwanaume kamili, unaanzaje kuigiza kama mwanamke? Au unafunguaje ID ya kike? .

Wakinogewa mwisho wa siku wanapitiliza mazima
 
Mwanzoni nlikuwa mtu positive sana kuhus watu wa humu😁😁siku hyo ilikua nionane na mtu sijui shetani gn aliniambia eb Leo usilale pitia pitia threads zle za usiku nlikoma
Halafu hiyo kitu hukuniambia hebu leo niambie ulikutana na nini winga?? 😂😂😂
 
Hivi mwanaume kamili, unaanzaje kuigiza kama mwanamke? Au unafunguaje ID ya kike? .

Wakinogewa mwisho wa siku wanapitiliza mazima
Kutokujiamini, mwingine anafungua for fun baadae akianza kutupiwa maneno ananogewa anaanza michezo ya hovyo!!
Ila wanaume mnazidi kupungua kila siku sijui vyakula mnavyokula vinawafanya mtamani kuwa na vibama km sisi!!! Mngejua mi nisivyopenda kuingia period halafu kuna watu wanatamani kuwa km sisi dah!! Nachoka kabisaa!!
 
Winga we miyeyusho ukute yule ntu n ww na liparody account Yako🤣🤣🤣unanizuga hapa
Sijawahi kuwa na parody humu, kwanza utanijua tyuu!!
Zaidi ya ile id yangu ya cute sina nyingine. Hebu sasa niambie kilichokukuta 🤣🤣🤣
 
5.9 feet mzee wewe ni mrefu, yaani wewe ni mrefu sana mkuu. Sitaki hata kusimama na watu warefu.

Hiyo age gape iko poa sana, wasshaanza kuwa desperate ukigusa tu imo.
Ha ha ha kawaida kaka ni kimo Cha kawaida
 
Kutokujiamini, mwingine anafungua for fun baadae akianza kutupiwa maneno ananogewa anaanza michezo ya hovyo!!
Ila wanaume mnazidi kupungua kila siku sijui vyakula mnavyokula vinawafanya mtamani kuwa na vibama km sisi!!! Mngejua mi nisivyopenda kuingia period halafu kuna watu wanatamani kuwa km sisi dah!! Nachoka kabisaa!!
Tamaa na kupenda mseleleko. Watu hawataki kuuliza akili, hivyo wanaamua kuumiza mwili.

Kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom