Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Wakuu kwema
Mimi ni kijana umri Wa miaka 31
Elimu: Bachelor degree ya Computer Science
Kazi: Software developer
Nimeajiriwa
Tayari Nina Mtoto Mmoja Wa kiume.
Rangi Mweusi
Urefu 5.9
Dini Mkristo

Sifa Mwanamke ninayemhitaji
Umri kuanzia 25-30
Awe na hofu ya Mungu
Sihitaji sifa nyingine zaidi

Ukiwa interested ni check Dm
Ma single faza na nyinyi inabidi mjadiliwe
 
Kuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti jamaa alikuwa na id ya kike kuna mwamba akajitosa pm akamwambia amtumie pesa akamtumia elfu 70, alivyoomba waonane akamjibu ukome mie mwanaume mwenzio siku nyingine usirudie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha nyie watu, uwiiiiih
 
Kutokujiamini, mwingine anafungua for fun baadae akianza kutupiwa maneno ananogewa anaanza michezo ya hovyo!!
Ila wanaume mnazidi kupungua kila siku sijui vyakula mnavyokula vinawafanya mtamani kuwa na vibama km sisi!!! Mngejua mi nisivyopenda kuingia period halafu kuna watu wanatamani kuwa km sisi dah!! Nachoka kabisaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom