Natafuta Mke Wa Tatu

Natafuta Mke Wa Tatu

wewe ndoa ya tatu,mwenzio akiwa ndio ya kwanza na anataka mambo makubwa itakuwaje maana ndoa ni ile ya kwanza bwana hizi nyingine ni ndoa lakini ya kwanza ndio yenyewe

Aaah inawezekana usemayo lakini sheria zinaniruhusu na hamna kitu napenda duniani kama wanawake wa halali. Raha moja kwa moja. Leo kwa huyu kesho kwa yule kesho kutwa kwa yulee, si unaona raha hiyo? na wao wanapata kufanya shughuli zao kwa raha wakati nipo kwa wenzao na sio kuwakalia rohoni saa 24.
 
Hasira hasara jamani,wala siendi namtania tu,mwenyewe ana miaka 60 hata babangu mzazi kijana

Sijafika sitini jamani. mbona mnanizeesha? Halafu bonge la handsome, nakuhakikishia Shosti ukinitembelea utakataa kunibanduka na itakuwa si utani tena. Jaribu uone. Si unajuwa mabulushi tulivyoumbika? halafu mie la kuchanganya, sasa imagine mwenyewe. Si unamuona mdogo wangu alivyo, sasa yeye ni pure breed mimi ni cocktail la nguvu. Duhh, nisijisifie nikajihusudu.
 
atakaye kubaliana na masharti yako lazima atakuwa na undugu na Malaria Sugu

MS mwenyewe angekuwa hajaolewa angekubali bila kusita, labda atantafutia nduguye.
 
Wewe hilo li avatar lako linaenda mbele au linarudi nyuma?

Wewe hukuliona miaka ile kule Dodoma lilimaloza watu ka nini? Nimechukuliwa na Wahindi sasa sijui hata mwelekeo wake kama si kaburini....
 
Sijafika sitini jamani. mbona mnanizeesha? Halafu bonge la handsome, nakuhakikishia Shosti ukinitembelea utakataa kunibanduka na itakuwa si utani tena. Jaribu uone. Si unajuwa mabulushi tulivyoumbika? halafu mie la kuchanganya, sasa imagine mwenyewe. Si unamuona mdogo wangu alivyo, sasa yeye ni pure breed mimi ni cocktail la nguvu. Duhh, nisijisifie nikajihusudu.
mwenzangu kumbe mbulushi,nasikia kila alhamisi mnaota mikia ntayaweza wapi hayo!
 
mwenzangu kumbe mbulushi,nasikia kila alhamisi mnaota mikia ntayaweza wapi hayo!

Hahahahahahah. Naona hujaijua maana ya "kuota mikia". Ukipenda ntakufahamisha maana yake kwa faida yako na wengine.

Kumbuka wabulushi ni Waislaam halafu wengi wao ni wafanya biashara, na kwa kuwa Waislaam na wafanya biashara basi wamejiwekea utaratibu wa siku ya Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko na siku ya AlKhamis ndio jumamosi yao, siku hiyo "huota mikia" kwani wanajuwa siku ya pili watakuwa wamepumzika. Nadhani umeelewa maana yake, au bado?
 
atakaye kubaliana na masharti yako lazima atakuwa na undugu na Malaria Sugu

Wawili watatu wame ni pm, lakini wansema eti hawataki kukaa shmba, mie nawashangaa sana,hivi mjini kuna nini zaidi ya mafoleni ya magari, makelele mtindo moja, hali ya hewa mbaya (pollution), mara matatizo ya kuziba mitaro ya maji taka, mara matakataka jalalani, maziwa fresh hakuna, yote yanachakachuliwa. Kuku wakienyeji hawanunuliki, aaah shamba siku tuna hamu ya kuku, tunakimbizana nao tu, kwanza zoezi halafi nyama swaaaafi. Mjini viagra unaenda pharmacy, aah kwetu shamba unaenda kuchimba "mdindadinda".

Sijui mjini wanapapendea nini? eti mmoja kanambia yeye atakaa mjini na siku ya zamu yake mie niende mjini kupumzika! hivi mjini kuna kupumzika? nikakataa, nikaona huyu hajui raha za shamba.
 
bibi yangu mzaa baba amesema yuko teyari. anakauwezo kidogo halali njaa. anawajukuu 45 watoto 9. punda kwa ajili ya kulimia 12 ana shamba la nguruwe wapatao 43 hivi huko kibaha. mashamba sikumbuki idadi kwa sasa ana miaka 63. hana haja ya kupima aliachana na mumewe miaka 30 iliyopita. hajawahi kuolewa tena wala kuwa na boyfriend kwa sasa yuko London kwa moja ya wajukuu zake. mahari yake tunahitaji ngómbe 17 wa kisasa, ngurue dume 13, ngamia 7. picha yake iko hapo chini. karibu kwetu

View attachment 33952

Halafu wewe unachakachuwa huyu bibi yuko Kibaha au Ethiopia? mbona unaniingiza mkenge!
attachment.php

Hahahahahahah. Naona hujaijua maana ya "kuota mikia". Ukipenda ntakufahamisha maana yake kwa faida yako na wengine.

Kumbuka wabulushi ni Waislaam halafu wengi wao ni wafanya biashara, na kwa kuwa Waislaam na wafanya biashara basi wamejiwekea utaratibu wa siku ya Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko na siku ya AlKhamis ndio jumamosi yao, siku hiyo "huota mikia" kwani wanajuwa siku ya pili watakuwa wamepumzika. Nadhani umeelewa maana yake, au bado?
du basi mie nkajuwa mkia mkiiiiiiiiiia nikasema itakuwaje ikifika alhamisi bwana ana mikia miwili.....nashukuru kwa kunifafanulia
 
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:

SIFA ZAKE:

1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65

2. ELIMU: Sio Muhimu

3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii) Asiwe na maradhi ya kudumu, kama kichaa, pumu, kisukari, blood pressure (kupanda au kushuka)

4. SIFA: i) Awe ana mali zake au kwao ana mali na hatokuwa tegemezi, mimi
ntatimiza wajibu wangu wa nyumba, kula, kuvaa. Zaidi ya hayo ajitegemee.
ii) Awe mzuri
iii) Awe na dini, Muislam, Mkristo au Yahudi, lakini si wajina wa vitendo.

5) Kabila: Yeyote ile

6) Rangi: Yeyote ile

7) Hakuna kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

8) Hakuna kungoja, akipatikana leo, tunapeleka posa kwa wazee, tunaoana immediately.

9) Baada ya ndoa: wageni nyumbani ni wale wa karibu tu, Baba, Mama, Kaka, Dada
Mjomba, Shangazi, Mama mdogo/mkubwa. Hao wote ni halisa sio
wa kufikia au wakupanga. Na wakikaa nyumbani zaidi ya siku tatu,
wanalipia gharama zote (kula, kulala, sabuni, maji, umeme, choo
n.k.)

10) Akubali kuwa mke wa tatu, nna wengine wawili, tunaishi kwa furaha na amani, kila mmoja anakaa kwake.

11) Umri wangu, zaidi ya miaka 50 sijafikia 60.

Nina wiki kama mbili hivi nimekuwa hospital leo natoka nakuingia humu nimecheka mpaka basi wajameni JF ina vituko kila kukicha kha!!!
 
Tunae!ila hapo kwenye namba 8,posa in total ni Tshs 15M na azae asizae hiyo ni non refundable,ni mchaganyiko wa kitusi na kiangaza-uko wapi tumlete kwenye interview?

Back
Top Bottom