Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndoa ya tatu,mwenzio akiwa ndio ya kwanza na anataka mambo makubwa itakuwaje maana ndoa ni ile ya kwanza bwana hizi nyingine ni ndoa lakini ya kwanza ndio yenyewe
Hasira hasara jamani,wala siendi namtania tu,mwenyewe ana miaka 60 hata babangu mzazi kijana
Ah ah ah ah, nasubiri kwa hamu Walima.Umeona eeh? x-paster nakuaminia na kwa kuwa ni mmoja wa masheikh wa JF ntakualika uwe shahid mambo yakiiva.
Wewe hilo li avatar lako linaenda mbele au linarudi nyuma?
MS mwenyewe angekuwa hajaolewa angekubali bila kusita, labda atantafutia nduguye.
MS ni mke wa mtu. Tena ni mwanamke mwenye akili sana namuombea kila la kheri katika maisha yake.
mwenzangu kumbe mbulushi,nasikia kila alhamisi mnaota mikia ntayaweza wapi hayo!Sijafika sitini jamani. mbona mnanizeesha? Halafu bonge la handsome, nakuhakikishia Shosti ukinitembelea utakataa kunibanduka na itakuwa si utani tena. Jaribu uone. Si unajuwa mabulushi tulivyoumbika? halafu mie la kuchanganya, sasa imagine mwenyewe. Si unamuona mdogo wangu alivyo, sasa yeye ni pure breed mimi ni cocktail la nguvu. Duhh, nisijisifie nikajihusudu.
mwenzangu kumbe mbulushi,nasikia kila alhamisi mnaota mikia ntayaweza wapi hayo!
atakaye kubaliana na masharti yako lazima atakuwa na undugu na Malaria Sugu
bibi yangu mzaa baba amesema yuko teyari. anakauwezo kidogo halali njaa. anawajukuu 45 watoto 9. punda kwa ajili ya kulimia 12 ana shamba la nguruwe wapatao 43 hivi huko kibaha. mashamba sikumbuki idadi kwa sasa ana miaka 63. hana haja ya kupima aliachana na mumewe miaka 30 iliyopita. hajawahi kuolewa tena wala kuwa na boyfriend kwa sasa yuko London kwa moja ya wajukuu zake. mahari yake tunahitaji ngómbe 17 wa kisasa, ngurue dume 13, ngamia 7. picha yake iko hapo chini. karibu kwetu
View attachment 33952
Mdada umeniacha hoi, hujambo mamie? kimyaaa!ha ha ha ha! Msemo wako nimeupenda.
du basi mie nkajuwa mkia mkiiiiiiiiiia nikasema itakuwaje ikifika alhamisi bwana ana mikia miwili.....nashukuru kwa kunifafanuliaHahahahahahah. Naona hujaijua maana ya "kuota mikia". Ukipenda ntakufahamisha maana yake kwa faida yako na wengine.
Kumbuka wabulushi ni Waislaam halafu wengi wao ni wafanya biashara, na kwa kuwa Waislaam na wafanya biashara basi wamejiwekea utaratibu wa siku ya Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko na siku ya AlKhamis ndio jumamosi yao, siku hiyo "huota mikia" kwani wanajuwa siku ya pili watakuwa wamepumzika. Nadhani umeelewa maana yake, au bado?
jukwaa la siasa hawapendi upupu. We usave kwenye pc yako uwe unajikumbushia. LolHata mie nimeupenda. Tena naupeleka kuleee, jukwa la siasa.
sijambo sist carol, nisamehe kwa ukimya ila tupo pamoja sana...Mdada umeniacha hoi, hujambo mamie? kimyaaa!
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:
SIFA ZAKE:
1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65
2. ELIMU: Sio Muhimu
3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii) Asiwe na maradhi ya kudumu, kama kichaa, pumu, kisukari, blood pressure (kupanda au kushuka)
4. SIFA: i) Awe ana mali zake au kwao ana mali na hatokuwa tegemezi, mimi
ntatimiza wajibu wangu wa nyumba, kula, kuvaa. Zaidi ya hayo ajitegemee.
ii) Awe mzuri
iii) Awe na dini, Muislam, Mkristo au Yahudi, lakini si wajina wa vitendo.
5) Kabila: Yeyote ile
6) Rangi: Yeyote ile
7) Hakuna kufanya mapenzi kabla ya ndoa.
8) Hakuna kungoja, akipatikana leo, tunapeleka posa kwa wazee, tunaoana immediately.
9) Baada ya ndoa: wageni nyumbani ni wale wa karibu tu, Baba, Mama, Kaka, Dada
Mjomba, Shangazi, Mama mdogo/mkubwa. Hao wote ni halisa sio
wa kufikia au wakupanga. Na wakikaa nyumbani zaidi ya siku tatu,
wanalipia gharama zote (kula, kulala, sabuni, maji, umeme, choo
n.k.)
10) Akubali kuwa mke wa tatu, nna wengine wawili, tunaishi kwa furaha na amani, kila mmoja anakaa kwake.
11) Umri wangu, zaidi ya miaka 50 sijafikia 60.