Hapana namba moja ndio tatizo ....Naona wako kimya au sifa ya 3 imewakwamisha kuchangamkia fursa..[emoji5]
Ni fursa kwa muhitaji ila sababu wewe usha vimbiwa makande huwezi kuona kama ni fursaHiyo nayo unaita ni fursa.!.. Empty Set kabisa
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi kwangu ila kwa mambo muhimu
4 Awe anafanya kazi
Nb: Mengine tuta jadiliana,fursa hiyo kwa wakina dada jitokezeni kwa wingi.
Ni pm tuongeeJe nawe hutakuwa tegemezi kwake? Una kazi? Una bima ya afya? Unafanya mazoezi... maana miaka 50 ya mwanamume asiyefanya mazoezi ni balaa...
mwanaume kufatilia mwanaume mwenzio profile yake anayetafuta mwenza ni jambo la kutia aibu na kustajabisha na lenye "mashaka".Umejiunga jf juzi jmosi Leo unatafta mke sio mbaya
Haikatai
Njoo pmwapendwa mpo kimya sana
Hiyo ya kutokuwa tegemezi, na awe anafanya kazi pia ni vigezo vya mke kweli? Mmh... Na akiwa mjasiriamali au mkulima?Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi kwangu ila kwa mambo muhimu
4 Awe anafanya kazi
Nb: Mengine tuta jadiliana,fursa hiyo kwa wakina dada jitokezeni kwa wingi.