Natafuta mke

Natafuta mke

Jali muda

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
38
Reaction score
21
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi kwangu ila kwa mambo muhimu
4 Awe anafanya kazi
Nb: Mengine tuta jadiliana,fursa hiyo kwa wakina dada jitokezeni kwa wingi.
 
Hiyo nayo unaita ni fursa.!.. Empty Set kabisa
 
Inaonekana wa chini ya rika la umri huo gharama za kuwa tegemez ni nying sana pengine ndo maana amewakwepa
...
 
Umejiunga jf juzi jmosi Leo unatafta mke sio mbaya

Haikatai
 
unatafuta mke!!! ila maswala ya kuzaa na mzungu hukupaswa kutuhusisha anywsy ushaweka wazi subiri wajazane PM , maana kuna wanaoodhea nyumbani mpaka leo hawaeleweki
 
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi kwangu ila kwa mambo muhimu
4 Awe anafanya kazi
Nb: Mengine tuta jadiliana,fursa hiyo kwa wakina dada jitokezeni kwa wingi.

Je nawe hutakuwa tegemezi kwake? Una kazi? Una bima ya afya? Unafanya mazoezi... maana miaka 50 ya mwanamume asiyefanya mazoezi ni balaa...
 
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi kwangu ila kwa mambo muhimu
4 Awe anafanya kazi
Nb: Mengine tuta jadiliana,fursa hiyo kwa wakina dada jitokezeni kwa wingi.
Hiyo ya kutokuwa tegemezi, na awe anafanya kazi pia ni vigezo vya mke kweli? Mmh... Na akiwa mjasiriamali au mkulima?
 
Back
Top Bottom