Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mimi mweusi kiasiNaombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotafuta mke wa kuoa wapo serious kweli mbona siwaelewi lakn mm sijaolewa natafuta mume awe mweupe kdg Awe ana umri miaka 28_30 awe mkristo awe anajua majukumu yake kama mume awe na huruma mwenye heshima awe smart awe amesoma angalau form 4 lakn mm npo pwani akiwa karibu sio mbaya npo serious tafadhali kwa ambaye yupo tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani alikuambia ana shida gani?
[emoji23]Mimi mweusi kiasi
Huyu binti ana uhitaji tunamuacha anapita pita hapa[emoji23]
Mke ninaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli vyuma vimekaza, vipi wewe huna shida ya mke?
Hebu changamkeni jamani, maana sio kwa uhitaji huo😂😂😂Huyu binti ana uhitaji tunamuacha anapita pita hapa
Ni PM namba zako nikuunganishe na binamu yangu....Naombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotafuta mke wa kuoa wapo serious kweli mbona siwaelewi lakn mm sijaolewa natafuta mume awe mweupe kdg Awe ana umri miaka 28_30 awe mkristo awe anajua majukumu yake kama mume awe na huruma mwenye heshima awe smart awe amesoma angalau form 4 lakn mm npo pwani akiwa karibu sio mbaya npo serious tafadhali kwa ambaye yupo tayari