Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mimi mweusi kiasiNaombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotafuta mke wa kuoa wapo serious kweli mbona siwaelewi lakn mm sijaolewa natafuta mume awe mweupe kdg Awe ana umri miaka 28_30 awe mkristo awe anajua majukumu yake kama mume awe na huruma mwenye heshima awe smart awe amesoma angalau form 4 lakn mm npo pwani akiwa karibu sio mbaya npo serious tafadhali kwa ambaye yupo tayari