Natafuta mke

Natafuta mke

Naombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotafuta mke wa kuoa wapo serious kweli mbona siwaelewi lakn mm sijaolewa natafuta mume awe mweupe kdg Awe ana umri miaka 28_30 awe mkristo awe anajua majukumu yake kama mume awe na huruma mwenye heshima awe smart awe amesoma angalau form 4 lakn mm npo pwani akiwa karibu sio mbaya npo serious tafadhali kwa ambaye yupo tayari
Mimi mweusi kiasi
 
Ni PM namba zako nikuunganishe na binamu yangu....
Yeye anavigezo vyote inavyotaka na pia alikuwa anatafuta bint so nahisi mtaendana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatafuta Mke Kama unatafuta line simu uliyo poteza aisee!!?

Mtu ambae atakuwa mbadala wako kwa Wazazi wako, Watoto wako na future yako unachukulia simple kweli? Jiandae mada za kulialia baada ya kumpata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni single lady na upo tayari kwa relation-ship, gonga like hapa nita ku pm my business card tuwasiliane😍😍❤
 
Back
Top Bottom