kila la kher ngoj waje upate chaguo la moyo wako mkuuMimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28.
Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira.
Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu wa wastani tu, Elimu yeyote tu, Asiwe mnene wala mwembamba sana, Dini awe Muislam, Kabila lolote tu sichagui .....Kama upo tayari ncheki DM