Natafuta mke

Natafuta mke

kidudula

Senior Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
130
Reaction score
107
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28.
Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira.
Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu wa wastani tu, Elimu yeyote tu, Asiwe mnene wala mwembamba sana, Dini awe Muislam, Kabila lolote tu sichagui .....Kama upo tayari ncheki DM
 
Kila la kheri mkuu, upate mwenye busara na hekima zote.

Wanakuja subili Hapo hapo.
 
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28.
Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira.
Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu wa wastani tu, Elimu yeyote tu, Asiwe mnene wala mwembamba sana, Dini awe Muislam, Kabila lolote tu sichagui .....Kama upo tayari ncheki DM
kila la kher ngoj waje upate chaguo la moyo wako mkuu
 
Picha hapa muhimu unavyosema asiwe mnene wala mwembamba, bila sample ya picha una maana gani?
 
Sample
images%20(1).jpeg
 
Muwe mnaweka na sifa zenu mkoje,kama mweupe,mfupi,mweusi etc etc ....unaweza pata mwanamke ana vigezo vyako vyote unavyotaka ila asivutiwe na wewe....
 
Back
Top Bottom