Natafuta mke

Natafuta mke

Ungeangalia chanzo n nn..mtu hawezi toka tu kwako ukaanz kupigana njian...chanzo kipo ila kwakuw wote mmekuja kichwa kichwa mmeanza kunishambulia na mm sina cha mswalia mtume nawapa vyenu
Chanzo cha kuleta matusi kisa nimekukumbusha binti wa Kislam anahitaji kuwa na staha? Swallow it as bitter as it is. Badilika acha ushamba wa kutukana tukana.
 
Bado naona unakaza ubongo hutak kuelew... ulinikuta nmejib wengine sabab mm pia ckupendezw na majib yao lakn ww kwakua umeona upande mmoja ukaona uanze na mm
Nimeanza na wewe kwasababu umetumia lugha chafu halafu bado ukajificha kwenye Kivuli cha Cha Uislamu. Facts had to be set straight watu wasije fikiri mabinti wa Kislamu wanatabia kama hizo. Umenielewa binti?
 
Sasa umesema kwnye comment kam ungekuw muungwana si ungenisemea pemben hapo bado sion ulofany la maan zaid we look like a clown now Mr
Lengo langu limetimia hujanitukana comment ya 5 sasa. Umekuwa good girl. Usiku mwema.
 
hata mimi nilianza hivi hivi...😉🙄😁😁😁😁😁😁
 
Unawazim ww...unadhan nalilia ndoa mm hata kupenda siwez kupenda ntaanzaje kutaka tena ndoa ili nkawe mfungwa mm niwe sehem ambayo siifurahii...sijawah kuachwa na cjawah kulilia mapenz ila nmetaman kupenda nijue unafeel vip ukifall in love
Nakutania mwaya
 
Unataka ndoa ya pil sabab huna hisia na mkeo wa kwnza sio kam kisa chako ulichosema ulioa kwa kumuonea huruma.. wanaume kama nyie wallah mm siwatak yaan unajkuta unapenda paspopendeka ... ningekubal kuw mke mdogo ila baada yakusoma uzi wako wa nyumba ovari zote zimesinyaa
Ziamshe tena ovary bana tuangalie namna ya kufanya. Huenda nikawa na baraka kwako... Allaah akatufanyia wepesi

Naushin
 
Mimi ni kijana wa ki islamu. Umri wangu ni miaka 31. Nina mke mmoja na watoto wawili.

Natafuta mke wa kuoa awe mke wa pili. Kama atapatikana tutaelewana.

Hakuna vigezo wala masharti.

Nipo serious
Pesa unayo ya kuwahudumia hao wanawake na watoto wote wa hizo pande mbili??
 
Huu uzi kuna vita tamu,endeleeeni hebu Nipo zangu hapa nadokoa matunda moja moja
 
kuna mtu humu kama hayupo bleed basi kagundua n mjamzito na mimba imekataliwa.
 
Huu uzi niliufatilia tangu jana na niliusubcribe kabisa (umbea suna, lol)

Nikawa interested na mazungumzo ya Naushin na Nafaka, nikawa naimani kabisa kuna kitu kizuri kitatokea kati yao baada ya majibizano ya muda (naonaga kwenye korean movies, teh)

Naendelea kusubiri.
 
Huu uzi niliufatilia tangu jana na niliusubcribe kabisa (umbea suna, lol)

Nikawa interested na mazungumzo ya Naushin na Nafaka, nikawa naimani kabisa kuna kitu kizuri kitatokea kati yao baada ya majibizano ya muda (naonaga kwenye korean movies, teh)

Naendelea kusubiri.
😂 😂 😂 😂 Umenichekesh kweli akikusikia Naushin atakwambia JF hakuna wanaume
 
Back
Top Bottom