Natafuta mke

Natafuta mke

You have always been my crush incase hukujua hili lol
Nasomaga tu comments natikisa kichwa
Mungu akujalie hili litimie[emoji1374]
Umenifanya leo siku yangu iwe murua kabisa, sikuwahi kuhisj nami naweza kuwa crush wa mtu humu jf, achilia mbali duniani.

Amini, ahante kwa dua yako, nawe mungu akujaalie ndoto(malengo) yatimie yakiwa na kheri tupu ndani yake.
 
UPDATE

Niseme alhamdulillah, ama hakika sifa zote njema anastahiki mola wa viumbe woote.

Kwakuwa jambo nilileta humj si vibaya pia kuleta mrejesho humu, kuna ndugu/washikaji kadhaa walikuwa wanaulizia mrejesho akiwemo bwana Darmian na wengine wengi.

Wazee ndugu yenu nimefanikiwa, japo kazi haikuwa rahisi saana, maana waliojitokeza ni wengi kuliko nilivyokuwa natarajia, mie nilidhani ni suala jepesi tu la kuandika hapa jf atokee mtu nione siku zisogee.. Ila walitokea wengi mnoo, wanawake saafi kabisa wenye uhitaji wa ndoa wapo wengi.. Nasikitika uwezo wangu mdogo siwezi kuoa walau wawili, kwa ghafla..
Lau kama ningekuwa na uwezo ningeoa hata wa3, sababu katika kuwapunguza punguza walibaki wachache ambao naona wanafaa kabisa, ila ilinilazimu niwaache tu, sababu niliyoelekeza hapo chini.

Nimefanikiwa kwa huyu mmoja, na mahari nimefanikiwa kupeleka MAHARI, harusi ilibidi iwe mapema kama nilivyotamani, ila kutokana na mchumba mwenyewe bado yupo darasani likizo yake ni mwezi April (ndogo) na ile kubwa ni September, nilipanga iwe April, hilo ndio lengo langu, lakini MAMA MZAZI(yangu) ameniomba nisogeze mbele sina budi kufanya mwezi huo kutokana na ratiba ya mwenzangu..

shukrani kwa wote, wale walioleta mzaha na pia walioniamin na kunipa moyo.

Pia wale warembo walionifata, imeshindikana waniwie radhi, hali ipo km nilivyoeleza, inshaallah panapo uhai naweza ongeza nitawafikiria km bado mtakuwa hamjapata stara.
Nawaombea ALLAH awafanyie wepesi nanyi mpate waume wa kufanya stara kwenu, mpate waume bora, waume wa ndoto zetu, na allah awajaalie vizazi vyenye manufaa na nyinyi duniani na kesho akhera.
 
Hongera mkuu,
 
Siku zinasogea, mambo yanakwenda.. Jf imenipa washikaji, imenipa ndugu, na sasa inaeoekea kunipa mke.

Ndugu zanguni tarehe 10/October naenda kuchukua jiko huko mjini nzega.

Kuna watu walinipa moyo kuna watu walidhani nataka nile mabinti za watu kimasihara.. Katika mara chache maishani mwangu nilizokuwa serious, hapa nilikuwa serious.

Mambo ni mengi ya kuzungumza, lakini kikubwa ni kuarifiana kuwa jambo letu linaelekea vema, kuna watu walinipa moyo na kunitakia mema katika hili hivyo ndugu zanguni dua zenu hazikubaki chini..
 
Mkuu asante kwa mrejesho....Ashukuriwe Mungu Baba.
Kila la kheri mkuu....Mungu akuongoze.... Inshallah
 
How do you feel now?? That the man you thought was a liar is about to accomplish something big??
I'm happy for him mate. Sikuandika hivyo kumtakia asipate tamanio la moyo wake. Ni kwamba sikukubaliana na njisi alivyojieleza zaidi. Coz hua naamini kwenye maeleze mengi kuna uongo mwingi ila hii haimaanishi kwamba mtoa mada anaongea uongo✌️
 
This is now mate. Back then you were negative!

Peace
 
Back
Top Bottom