makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #81
Nakosa la kukwambia, yote kwa yote ahsante mzee..I'm happy for him mate. Sikuandika hivyo kumtakia asipate tamanio la moyo wake. Ni kwamba sikukubaliana na njisi alivyojieleza zaidi. Coz hua naamini kwenye maeleze mengi kuna uongo mwingi ila hii haimaanishi kwamba mtoa mada anaongea uongo[emoji3577]
Ulifeli jambo dogo sana, maelezo machache ni kwa wenye kuelewa vingi ndani ya vichache, ambao ni wachache mnoo, kuongea kimatumbi kwa mtu anaejua kisukuma ni kupoteza muda.