Natafuta mke

Natafuta mke

I'm happy for him mate. Sikuandika hivyo kumtakia asipate tamanio la moyo wake. Ni kwamba sikukubaliana na njisi alivyojieleza zaidi. Coz hua naamini kwenye maeleze mengi kuna uongo mwingi ila hii haimaanishi kwamba mtoa mada anaongea uongo[emoji3577]
Nakosa la kukwambia, yote kwa yote ahsante mzee..

Ulifeli jambo dogo sana, maelezo machache ni kwa wenye kuelewa vingi ndani ya vichache, ambao ni wachache mnoo, kuongea kimatumbi kwa mtu anaejua kisukuma ni kupoteza muda.
 
Namshukuru mungu lilitimja, ndoa ikapita, mpunga tukautafuna, nikakakuwekea ubweche nikihisi utakuja, ila hukuja nikaupiga kiporo kesho yake. [emoji23]

Salam zako nitazifikisha ndugu yangu.
Kumbe kuna watu serious humu, hongereni sana mkuu, kila rakheri ktk maisha ya ndoa.

Soon nakuja na uzi , umeniinspire mkuu😘
 
Kumbe kuna watu serious humu, hongereni sana mkuu, kila rakheri ktk maisha ya ndoa.

Soon nakuja na uzi , umeniinspire mkuu[emoji8]
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.

Wapo wachache walio serious japo wanamezwa na wengi ambao ni wazinguaji.

Amin ndugu yangu,

Kila la kheri nawe mkuu, ukipandisha uzi wako unishitue nije kusafisha macho.
[emoji8]
 
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.

Wapo wachache walio serious japo wanamezwa na wengi ambao ni wazinguaji
[emoji23][emoji23]!
Vipi ulifanikiwa kujipatia mke humu?
 
Hicho kipindi unanitag nilikua nilikua nipo shimoni.

Hongera sana mzee
 
Back
Top Bottom