Natafuta mke

Natafuta mke

Naishi Moshi
Umri wangu 33
Mwajiriwa
Mkristo

Nahitaji mwanamke ambae atakua mke.
Umri kuanzia 25-30
Mwenye uhitaji na alie serious tuyajenge mahusiano.
Mwajiriwa au amejiajiri
Mkristo.
Mwanamke alie serious na mwenye uhitaji anicheki inbox au Whatsap kwa namba 0719010392. Asante[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Seriouz
 
Naitwa Sam
Miaka 35
Naishi moshi
Kazi yangu biashara
Kabila mchaga
Dini Mkristo,, KKKT
Mweusi mrefu
Sio mnene wala mwembamba sana

NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO:
Jina lolote
Kabila lolote
Dini yoyote
Umri kuanzia 25- 35
Awe anaishi mkoa wowote
Awe na kazi yoyote halali haijalishi ht km ya kipato kidogo mradi anajishughulisha
Awe mweupe au mweusi
Awe mwembamba au mnene
Kama ana watoto bas si zaidi ya wawili.
Ni hayo tu mengine tutarekebishana na kuvumiliana.

NB; NAJUA WENGI MTASEMA HUMU HUWEZI PATA MKE NAJUA ILA MKE AU MUME ANAPATIKANA POPOTE TU HT HUMU WAPO PIA MI NAAMINI HIVYO MAANA WAPO WALIOPATA TUSIKATISHANE TAMAA. KAMA YUPO MWANAMKE MWENYE UHITAJI NA YUPO SERIOUS NJOO DM TUFAHAMIANE ZAIDI NA HUKO KILA KITU UTAKIPATA PICHA NA MAMBO MENGINE. Karibu sana. Asanteni.
Hello habari samahani tunaweza kuwasiliana,
 
Nitafute
 
Back
Top Bottom