chief igweee
New Member
- Jan 14, 2022
- 2
- 8
Kumbe wewe ni MUHAJILIWAMimi Ni kijana mwenye umri 38 Ni muhajiliwa natafuta mke mwenye umri unaostaili ndoa uwe mkubwa uwe wa makamo na uwe umeajiliwa au umejiajili kwa mazungumzo zaid njoo inbox
weee. Ni muhajiliwa.una watoto toa fully details we muajiriwa bhna
Yeapweee. Ni muhajiliwa.
Njoo nikuliwazeNataka mwanamke wa kuliwazana umri 30s na 40s
muhajiliwa
Kila la heri mkuuMimi Ni kijana mwenye umri 38 Ni muhajiliwa natafuta mke mwenye umri unaostaili ndoa uwe mkubwa uwe wa makamo na uwe umeajiliwa au umejiajili kwa mazungumzo zaid njoo inbox
Usitafute sababu tangazo umelielewa, au hutaki ndoa?Ningekuja tatizo mimi sio muhajiliwa
Tangazo nimelihelewa na ndoa nahitaka tatizo vigezo[emoji1787]Usitafute sababu tangazo umelielewa, au hutaki ndoa?
Nyie zichezeeni fursa hizi baadae msije anza sema ata anaye pumua anatoshaUsitafute sababu tangazo umelielewa, au hutaki ndoa?
Kitu ambacho unatakiwa kujua ni hiki, mtandaoni kuna mambo mengi bora mme wa kukutana nae nje ya mtandao.akakuona akaridhia akakuomba no.Tangazo nimelihelewa na ndoa nahitaka tatizo vigezo[emoji1787]