Natafuta mke

Natafuta mke

una watoto toa fully details we muajiriwa bhna
 
Tangazo nimelihelewa na ndoa nahitaka tatizo vigezo[emoji1787]
Kitu ambacho unatakiwa kujua ni hiki, mtandaoni kuna mambo mengi bora mme wa kukutana nae nje ya mtandao.akakuona akaridhia akakuomba no.

Mtandaoni utakuta mtu mushapeana no kumbe mfupiiii na wewe hupendi wafupi, nae wenda anataka mwanamke mwenye chura likubwa kumbe wewe huna sasa uoni hapo kuna shida? Etc etcccc
 
Back
Top Bottom