Natafuta mke

Utafirisika vibaya sana.
Na muonea huruma sana huku sio pa kuchukua mke ohooo yaani na akili na u financial fighter wake anaishia kuchukua mtu huku daaah

Asee akapimwe akili si haba [emoji848]
 
Usichotwe akili dada tangu lini mtu mwenye miradi aje atafute mpenzi mtandaoni
Eti bro haimake sense kabisa ni sawasawa na mwamposa leo aje huku atangaza ni uongo tu humu jamaa akichukua demu huku muandae kabisa na kaburi maana anaenda kufa kihoro huyu
 
Mmmh[emoji848]
 
Muwe mnaleta mrejesho kama kuna harusi tuje kula ubwabwa…
 
Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kwa kipengele icho Mkuu kimebeba kila Ndoto ya Mwanamke hakika watakuja DM..Kila la kheri kwenye kumpata mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…