KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Na muonea huruma sana huku sio pa kuchukua mke ohooo yaani na akili na u financial fighter wake anaishia kuchukua mtu huku daaahUtafirisika vibaya sana.
Asee akapimwe akili si haba [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na muonea huruma sana huku sio pa kuchukua mke ohooo yaani na akili na u financial fighter wake anaishia kuchukua mtu huku daaahUtafirisika vibaya sana.
FactUtafirisika Muda sio mrefu ulicho nacho ni insurance life and not safety life note it
Tushafika ila tumechelewa 9 days sijui kama kapona huyu [emoji19]Kudadeki kataa NDOA mko wapi muokoe jaazi linataka kuzama huku.
Eti bro haimake sense kabisa ni sawasawa na mwamposa leo aje huku atangaza ni uongo tu humu jamaa akichukua demu huku muandae kabisa na kaburi maana anaenda kufa kihoro huyuUsichotwe akili dada tangu lini mtu mwenye miradi aje atafute mpenzi mtandaoni
Huyu dogo haelewi hii kitu ni serious kuliko hata pesa kutafuta mwenza uliopangiwa na Mungu ni shughuli kwelikwelimipango gani unayopanga na mtu usomjua a Wala c
.mtakuja kuokota majini humu mitandaoni.
Mmmh[emoji848]Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo.
Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.
Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umasikini na aina zake, hakuna kitu kibaya kama umaskini.
Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.
Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.
Kutokana na mila na tamaduni za Kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.
Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) Wholesale and retail trades
(C) Live stock herding
(d) Financial services etc.
Sifa zangu.
Sifa za mke
- Economic fighter
- 38 years of age
- Poverty protestant
- Am posesing more than one university degrees
Wito
- Economic fighter
- matured woman from 28 to 37 years of age.
- Mchapa kazi.
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.
Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com