Natafuta mke

Natafuta mke

Utafirisika vibaya sana.
Na muonea huruma sana huku sio pa kuchukua mke ohooo yaani na akili na u financial fighter wake anaishia kuchukua mtu huku daaah

Asee akapimwe akili si haba [emoji848]
 
Usichotwe akili dada tangu lini mtu mwenye miradi aje atafute mpenzi mtandaoni
Eti bro haimake sense kabisa ni sawasawa na mwamposa leo aje huku atangaza ni uongo tu humu jamaa akichukua demu huku muandae kabisa na kaburi maana anaenda kufa kihoro huyu
 
Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.

Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umasikini na aina zake, hakuna kitu kibaya kama umaskini.

Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.

Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kutokana na mila na tamaduni za Kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.

Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) Wholesale and retail trades
(C) Live stock herding
(d) Financial services etc.

Sifa zangu.
  • Economic fighter
  • 38 years of age
  • Poverty protestant
  • Am posesing more than one university degrees
Sifa za mke
  • Economic fighter
  • matured woman from 28 to 37 years of age.
  • Mchapa kazi.
Wito
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.

Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com
Mmmh[emoji848]
 
Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kwa kipengele icho Mkuu kimebeba kila Ndoto ya Mwanamke hakika watakuja DM..Kila la kheri kwenye kumpata mwenza
 
Back
Top Bottom